Quran with Swahili translation - Surah AT-Tariq ayat 9 - الطَّارق - Page - Juz 30
﴿يَوۡمَ تُبۡلَى ٱلسَّرَآئِرُ ﴾
[الطَّارق: 9]
﴿يوم تبلى السرائر﴾ [الطَّارق: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku zitakapofunuliwa wazi siri ziliofichwa na nafsi na kupambanuliwa njema na mbovu |