Quran with Swahili translation - Surah AT-Tariq ayat 10 - الطَّارق - Page - Juz 30
﴿فَمَا لَهُۥ مِن قُوَّةٖ وَلَا نَاصِرٖ ﴾
[الطَّارق: 10]
﴿فما له من قوة ولا ناصر﴾ [الطَّارق: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Binadamu hatakuwa na nguvu ya kuitetea nafsi yake wala hatakuwa na mtetezi wa kumwepushia adhabu ya Mwenyezi Mungu |