Quran with Swahili translation - Surah Al-Balad ayat 3 - البَلَد - Page - Juz 30
﴿وَوَالِدٖ وَمَا وَلَدَ ﴾
[البَلَد: 3]
﴿ووالد وما ولد﴾ [البَلَد: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Anaapa kwa mzazi wa wanaadamu, ambaye ni Ādam, amani imshukie, na kilichozalikana na yeye |