Quran with Swahili translation - Surah Al-Balad ayat 7 - البَلَد - Page - Juz 30
﴿أَيَحۡسَبُ أَن لَّمۡ يَرَهُۥٓ أَحَدٌ ﴾
[البَلَد: 7]
﴿أيحسب أن لم يره أحد﴾ [البَلَد: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani anadhani, kwa kitendo chake hiko, kuwa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kushinda, Hamuoni wala hatamhesabu juu ya kubwa na dogo |