Quran with Swahili translation - Surah Al-Kafirun ayat 5 - الكافِرون - Page - Juz 30
﴿وَلَآ أَنتُمۡ عَٰبِدُونَ مَآ أَعۡبُدُ ﴾
[الكافِرون: 5]
﴿ولا أنتم عابدون ما أعبد﴾ [الكافِرون: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Wala nyinyi si wenye kuabudu mbeleni ninayemuabudu.» Aya hii imeteremka juu ya watu makhsusi miongoni mwa washirikina ambao Mwenyezi Mungu Alijua kuwa hawataamini kabisa |