Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 69 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَلَا تُخۡزُونِ ﴾
[الحِجر: 69]
﴿واتقوا الله ولا تخزون﴾ [الحِجر: 69]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na yaogopeni mateso ya Mwenyezi Mungu, wala msiwasumbue mkaniingiza kwenye unyonge na madharau kwa kuwaudhi wageni wangu.» |