Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 147 - البَقَرَة - Page - Juz 2
﴿ٱلۡحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ مِنَ ٱلۡمُمۡتَرِينَ ﴾
[البَقَرَة: 147]
﴿الحق من ربك فلا تكونن من الممترين﴾ [البَقَرَة: 147]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yale yaliyoteremshwa kwako, ewe Nabii, ndiyo haki kutoka kwa Mola wako. Kwa hivyo, usiwe ni kati ya wale wanaoyatilia shaka. Maneno haya, ingawa anambiwa Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, yanaelekezwa kwa ummah wote |