Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 23 - طه - Page - Juz 16
﴿لِنُرِيَكَ مِنۡ ءَايَٰتِنَا ٱلۡكُبۡرَى ﴾
[طه: 23]
﴿لنريك من آياتنا الكبرى﴾ [طه: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tumefanya hivyo ili kukuonesha , ewe Mūsā, dalili zetu kubwa zenye kutolea ushahidi uweza wetu, ukubwa wa ufalme wetu na usahihi wa utume wako |