Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 24 - طه - Page - Juz 16
﴿ٱذۡهَبۡ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ إِنَّهُۥ طَغَىٰ ﴾
[طه: 24]
﴿اذهب إلى فرعون إنه طغى﴾ [طه: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Enda, ewe Mūsā, kwa Fir'awn, kwa kuwa yeye amepitisha kipimo chake na ametoka kwenye utiifu wa Mola wake, umuite kwenye kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kumuabudu |