Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 107 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿وَمَآ أَرۡسَلۡنَٰكَ إِلَّا رَحۡمَةٗ لِّلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 107]
﴿وما أرسلناك إلا رحمة للعالمين﴾ [الأنبيَاء: 107]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hatukukutumiliza , ewe Mtume, isipokuwa ni rehema kwa watu wote. Mwenye kukuamini atakuwa mwema na ataokoka, na asiyeamini atapita patupu na atapata hasara |