Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 73 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿وَإِنَّكَ لَتَدۡعُوهُمۡ إِلَىٰ صِرَٰطٖ مُّسۡتَقِيمٖ ﴾
[المؤمنُون: 73]
﴿وإنك لتدعوهم إلى صراط مستقيم﴾ [المؤمنُون: 73]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika wewe, ewe Mtume, unawalingania watu wako na wengineo kwenye Dini iliyolingana sawa, nayo ni Dini ya Uislamu |