×

Au unawaomba ujira? Lakini ujira wa Mola wako Mlezi ni bora, na 23:72 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:72) ayat 72 in Swahili

23:72 Surah Al-Mu’minun ayat 72 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 72 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿أَمۡ تَسۡـَٔلُهُمۡ خَرۡجٗا فَخَرَاجُ رَبِّكَ خَيۡرٞۖ وَهُوَ خَيۡرُ ٱلرَّٰزِقِينَ ﴾
[المؤمنُون: 72]

Au unawaomba ujira? Lakini ujira wa Mola wako Mlezi ni bora, na Yeye ndiye Mbora wa wanao ruzuku

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أم تسألهم خرجا فخراج ربك خير وهو خير الرازقين, باللغة السواحيلية

﴿أم تسألهم خرجا فخراج ربك خير وهو خير الرازقين﴾ [المؤمنُون: 72]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Au limewazuia wao kukuamini kwa kuwa wewe, ewe Mtume, unawaomba malipo juu ya ulinganizi wako kwao, hivyo basi wakafanya ubahili? Hukufanya hivyo, kwa kuwa zile thawabu zilizoko kwa Mwenyezi Mungu na vipewa ni bora zaidi. Na Yeye ni bora wa wanaoruzuku, hakuna awezaye kuruzuku kama Yeye Anavyoruzuku, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek