Quran with Swahili translation - Surah An-Nur ayat 42 - النور - Page - Juz 18
﴿وَلِلَّهِ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۖ وَإِلَى ٱللَّهِ ٱلۡمَصِيرُ ﴾
[النور: 42]
﴿ولله ملك السموات والأرض وإلى الله المصير﴾ [النور: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni wa Mwenyezi Mungu, Peke Yake, ufalme wa mbinguni na ardhini. Ndiye Mwenye utawala wa hizo zote. Na Kwake Yeye ndio marejeo Siku ya Kiyama |