×

Na wale ambao wanapo tumia hawatumii kwa fujo wala hawafanyi ubakhili, bali 25:67 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:67) ayat 67 in Swahili

25:67 Surah Al-Furqan ayat 67 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 67 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَٱلَّذِينَ إِذَآ أَنفَقُواْ لَمۡ يُسۡرِفُواْ وَلَمۡ يَقۡتُرُواْ وَكَانَ بَيۡنَ ذَٰلِكَ قَوَامٗا ﴾
[الفُرقَان: 67]

Na wale ambao wanapo tumia hawatumii kwa fujo wala hawafanyi ubakhili, bali wanakuwa katikati baina ya hayo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والذين إذا أنفقوا لم يسرفوا ولم يقتروا وكان بين ذلك قواما, باللغة السواحيلية

﴿والذين إذا أنفقوا لم يسرفوا ولم يقتروا وكان بين ذلك قواما﴾ [الفُرقَان: 67]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ambao wakitumia mali zao hawapitishi kipimo katika kutoa wala hawabani katika matumizi, na kutumia kwao huwa kuko kati na kati baina ya kupitisha kipimo na kubana
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek