×

Na wale wasio mwomba mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu, wala hawaui 25:68 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:68) ayat 68 in Swahili

25:68 Surah Al-Furqan ayat 68 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 68 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَٱلَّذِينَ لَا يَدۡعُونَ مَعَ ٱللَّهِ إِلَٰهًا ءَاخَرَ وَلَا يَقۡتُلُونَ ٱلنَّفۡسَ ٱلَّتِي حَرَّمَ ٱللَّهُ إِلَّا بِٱلۡحَقِّ وَلَا يَزۡنُونَۚ وَمَن يَفۡعَلۡ ذَٰلِكَ يَلۡقَ أَثَامٗا ﴾
[الفُرقَان: 68]

Na wale wasio mwomba mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu, wala hawaui nafsi aliyo iharimisha Mwenyezi Mungu isipo kuwa kwa haki, wala hawazini - na atakaye fanya hayo atapata madhara

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والذين لا يدعون مع الله إلها آخر ولا يقتلون النفس التي حرم, باللغة السواحيلية

﴿والذين لا يدعون مع الله إلها آخر ولا يقتلون النفس التي حرم﴾ [الفُرقَان: 68]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ambao wanampwekesha Mwenyezi Mungu na hawamuombi wala kumuabudu mola asiyekuwa Yeye, wala hawaiui nafsi ambayo Mwenyezi Mungu Ameharamisha kuuawa isipokuwa kwa kitu kinachopasisha kuuawa, kama vile kukufuru baada ya kuamini au kuzini baada ya ndoa au kumuua mtu kwa uadui, wala hawazini bali wanazihifadhi tupu zao isipokuwa kwa wake zao au wale ambao mikono yao ya kulia imemiliki. Na mwenye kuyafanya madhambi haya makubwa atakuta mateso huko Akhera
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek