Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 11 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَوۡمَ فِرۡعَوۡنَۚ أَلَا يَتَّقُونَ ﴾
[الشعراء: 11]
﴿قوم فرعون ألا يتقون﴾ [الشعراء: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr nao ni watu wa Fir’awn na uwaambie wayaogope mateso ya Mwenyezi Mungu Aliyetukuka na waache ukafiri na upotevu walionao |