Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 153 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالُوٓاْ إِنَّمَآ أَنتَ مِنَ ٱلۡمُسَحَّرِينَ ﴾
[الشعراء: 153]
﴿قالوا إنما أنت من المسحرين﴾ [الشعراء: 153]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watu wa Thamūd walimwambia Nabii wao Ṣāliḥ, «Wewe hukuwa isipokuwa ni miongoni mwa wale waliofanyiwa uganga wa uchawi mwingi, mpaka uchawi ukaathiri akili yako |