×

Wewe si chochote ila ni mtu kama sisi. Basi lete Ishara ukiwa 26:154 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shu‘ara’ ⮕ (26:154) ayat 154 in Swahili

26:154 Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 154 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 154 - الشعراء - Page - Juz 19

﴿مَآ أَنتَ إِلَّا بَشَرٞ مِّثۡلُنَا فَأۡتِ بِـَٔايَةٍ إِن كُنتَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ ﴾
[الشعراء: 154]

Wewe si chochote ila ni mtu kama sisi. Basi lete Ishara ukiwa wewe ni miongoni mwa wasemao kweli

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ما أنت إلا بشر مثلنا فأت بآية إن كنت من الصادقين, باللغة السواحيلية

﴿ما أنت إلا بشر مثلنا فأت بآية إن كنت من الصادقين﴾ [الشعراء: 154]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hukuwa wewe isipokuwa ni mmoja wa wanadamu unaofanana na sisi katika ubinadamu, basi vipi utakuwa tafauti na sisi kwa utume? Basi leta hoja wazi inayoonyesha kuwa utume wako umethibiti, iwapo wewe ni mkweli katika madai yako kwamba Mwenyezi Mungu Amekutumiliza kwetu.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek