×

Basi walimkanusha, na ikawashika adhabu ya siku ya kivuli. Hakika hiyo ilikuwa 26:189 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shu‘ara’ ⮕ (26:189) ayat 189 in Swahili

26:189 Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 189 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 189 - الشعراء - Page - Juz 19

﴿فَكَذَّبُوهُ فَأَخَذَهُمۡ عَذَابُ يَوۡمِ ٱلظُّلَّةِۚ إِنَّهُۥ كَانَ عَذَابَ يَوۡمٍ عَظِيمٍ ﴾
[الشعراء: 189]

Basi walimkanusha, na ikawashika adhabu ya siku ya kivuli. Hakika hiyo ilikuwa adhabu ya siku kubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فكذبوه فأخذهم عذاب يوم الظلة إنه كان عذاب يوم عظيم, باللغة السواحيلية

﴿فكذبوه فأخذهم عذاب يوم الظلة إنه كان عذاب يوم عظيم﴾ [الشعراء: 189]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wakaendelea kumkanusha, likawapata wao joto kali, wakawa wanatafuta mahali pa hifadhi ili wajifinike. Kikawafinika kiwingu, kikawapatia ubaridi na upepo laini, na walipokusanyika chini yake, moto uliwawakia na ukawachoma, basi hapo yakawa maangamivu yao wote katika siku yenye kitisho kikali
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek