Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 224 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَٱلشُّعَرَآءُ يَتَّبِعُهُمُ ٱلۡغَاوُۥنَ ﴾
[الشعراء: 224]
﴿والشعراء يتبعهم الغاوون﴾ [الشعراء: 224]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na washairi, mashairi yao yanasimama juu ya ubatilifu na urongo, na wanafuatana na wao wapotevu waliopotoka kama wao |