×

Wanawapelekea yale wanayo yasikia; na wengi wao ni waongo 26:223 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shu‘ara’ ⮕ (26:223) ayat 223 in Swahili

26:223 Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 223 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 223 - الشعراء - Page - Juz 19

﴿يُلۡقُونَ ٱلسَّمۡعَ وَأَكۡثَرُهُمۡ كَٰذِبُونَ ﴾
[الشعراء: 223]

Wanawapelekea yale wanayo yasikia; na wengi wao ni waongo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يلقون السمع وأكثرهم كاذبون, باللغة السواحيلية

﴿يلقون السمع وأكثرهم كاذبون﴾ [الشعراء: 223]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mashetani wanasikiliza kwa kuiba, wanayanyakuwa maneno kutoka sehemu za juu wakawatupia makuhani na wale wanaokuwa na mwenendo wao miongoni mwa watu wenye matendo mabaya. Na wengi wa hawa ni warongo, kwani mmoja wao husema kweli katika neno moja na akaongeza juu yake maneno mia moja ya urongo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek