Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 97 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿تَٱللَّهِ إِن كُنَّا لَفِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٍ ﴾
[الشعراء: 97]
﴿تالله إن كنا لفي ضلال مبين﴾ [الشعراء: 97]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Tunaapa kwa Mwenyezi Mungu kwamba sisi, duniani, tulikuwa kwenye upotevu ulio waziwazi, haukuwa umefichika |