Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 59 - العَنكبُوت - Page - Juz 21
﴿ٱلَّذِينَ صَبَرُواْ وَعَلَىٰ رَبِّهِمۡ يَتَوَكَّلُونَ ﴾
[العَنكبُوت: 59]
﴿الذين صبروا وعلى ربهم يتوكلون﴾ [العَنكبُوت: 59]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mabustani hayo yaliyotajwa ni ya Waumini waliovumilia katika kumuabudu Mwenyezi Mungu, wakashikamana na dini yao na wakawa wanamtegemea Mwenyezi Mungu katika riziki zao na kupigana jihadi na maadui wao |