Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 141 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿وَلِيُمَحِّصَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَيَمۡحَقَ ٱلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[آل عِمران: 141]
﴿وليمحص الله الذين آمنوا ويمحق الكافرين﴾ [آل عِمران: 141]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kushindwa huku kuliotokea katika vita vya Uhud kulikuwa ni kuwafanyia mtihani, kuwasafisha Waumini, kuwatakasa na wanafiki na ni maangamivu kwa makafiri |