Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 150 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿بَلِ ٱللَّهُ مَوۡلَىٰكُمۡۖ وَهُوَ خَيۡرُ ٱلنَّٰصِرِينَ ﴾
[آل عِمران: 150]
﴿بل الله مولاكم وهو خير الناصرين﴾ [آل عِمران: 150]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wao hawatawanusuru nyinyi; bali Mwenyezi Mungu Ndiye Mwenye kuwanusuru na Ndiye Mnusuru bora Asiyehitajia nusura ya mtu Mwengine |