Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 48 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿وَيُعَلِّمُهُ ٱلۡكِتَٰبَ وَٱلۡحِكۡمَةَ وَٱلتَّوۡرَىٰةَ وَٱلۡإِنجِيلَ ﴾
[آل عِمران: 48]
﴿ويعلمه الكتاب والحكمة والتوراة والإنجيل﴾ [آل عِمران: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Atamfundisha kuandika, njia ya kuufikia usawa katika kusema na kutenda, Taurati ambayo Mwenyezi Mungu Alimletea Musa, amani imshukie, kwa njia ya wahyi, na Injili ambayo Mwenyezi Mungu Alimteremshia yeye |