Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 29 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ﴾
[سَبإ: 29]
﴿ويقولون متى هذا الوعد إن كنتم صادقين﴾ [سَبإ: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hawa washirikina wanasema kwa njia ya shere, «Ni lini wakati wa Ahadi hii ambayo unatuahidi kuwa Mwenyezi Mungu Atatukusanya ndani yake kisha Ahukumu baina yetu, iwapo nyinyi ni wakweli katika kile mlichotuahidi kwacho?» |