×

Akaingia katika kupigiwa kura, na akawa katika walio shindwa 37:141 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah As-saffat ⮕ (37:141) ayat 141 in Swahili

37:141 Surah As-saffat ayat 141 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 141 - الصَّافَات - Page - Juz 23

﴿فَسَاهَمَ فَكَانَ مِنَ ٱلۡمُدۡحَضِينَ ﴾
[الصَّافَات: 141]

Akaingia katika kupigiwa kura, na akawa katika walio shindwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فساهم فكان من المدحضين, باللغة السواحيلية

﴿فساهم فكان من المدحضين﴾ [الصَّافَات: 141]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mawimbi makubwa yakaizunguka jahazi hiyo kila upande. Na watu waliokuwa wamepanda jahazi wakapiga kura ili kupunguza shehena ili wasizame. Yūnus akawa ni miongoni mwa wale walioshindwa kwa kura
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek