Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 140 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِذۡ أَبَقَ إِلَى ٱلۡفُلۡكِ ٱلۡمَشۡحُونِ ﴾
[الصَّافَات: 140]
﴿إذ أبق إلى الفلك المشحون﴾ [الصَّافَات: 140]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Alipokimbia kutoka mji wake, akiwa na hasira juu ya watu wake, akapanda jahazi iliyojaa abiria na vyombo |