Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 42 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَوَٰكِهُ وَهُم مُّكۡرَمُونَ ﴾
[الصَّافَات: 42]
﴿فواكه وهم مكرمون﴾ [الصَّافَات: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Riziki hiyo ni matunda aina mbalimbali. Na wao ni wenye kukirimiwa kwa takrima ya Mwenyezi Mungu |