Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 75 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَلَقَدۡ نَادَىٰنَا نُوحٞ فَلَنِعۡمَ ٱلۡمُجِيبُونَ ﴾
[الصَّافَات: 75]
﴿ولقد نادانا نوح فلنعم المجيبون﴾ [الصَّافَات: 75]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika Alituita kwa kutuomba Nabii wetu Nūḥ tumlinde na watu wake, basi bora wa wenye kumuitikia tulikuwa ni sisi |