Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 56 - صٓ - Page - Juz 23
﴿جَهَنَّمَ يَصۡلَوۡنَهَا فَبِئۡسَ ٱلۡمِهَادُ ﴾
[صٓ: 56]
﴿جهنم يصلونها فبئس المهاد﴾ [صٓ: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr nao ni Moto ambao ndani yake wataadhibiwa, utawafinika pande zao zote, basi tandiko baya mno ni tandiko lao |