Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 55 - صٓ - Page - Juz 23
﴿هَٰذَاۚ وَإِنَّ لِلطَّٰغِينَ لَشَرَّ مَـَٔابٖ ﴾
[صٓ: 55]
﴿هذا وإن للطاغين لشر مآب﴾ [صٓ: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hayo, yaliyotangulia kutajwa sifa zake, ni ya wachamungu. Ama wale wenye kuruka mpaka na kuingia ukafirini na maasi, wao watakuwa na marejeo maovu kabisa na mwisho mbaya sana |