Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 57 - صٓ - Page - Juz 23
﴿هَٰذَا فَلۡيَذُوقُوهُ حَمِيمٞ وَغَسَّاقٞ ﴾
[صٓ: 57]
﴿هذا فليذوقوه حميم وغساق﴾ [صٓ: 57]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Adhabu hii ni maji yaliyo moto sana, na usaha unaotiririka kutoka kwenye miili ya watu wa Motoni, basi na wanywe |