Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 62 - الزُّمَر - Page - Juz 24
﴿ٱللَّهُ خَٰلِقُ كُلِّ شَيۡءٖۖ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ وَكِيلٞ ﴾
[الزُّمَر: 62]
﴿الله خالق كل شيء وهو على كل شيء وكيل﴾ [الزُّمَر: 62]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Ndiye Muumba wa vitu vyote, Ndiye Mola wa hivyo vitu na Ndiye Mwenye kuviendesha. Na Yeye ni Mtunzi wa kila kitu. Anayaendesha mambo yote ya viumbe Vyake |