Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 66 - الزُّمَر - Page - Juz 24
﴿بَلِ ٱللَّهَ فَٱعۡبُدۡ وَكُن مِّنَ ٱلشَّٰكِرِينَ ﴾
[الزُّمَر: 66]
﴿بل الله فاعبد وكن من الشاكرين﴾ [الزُّمَر: 66]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Bali Mwenyezi Mungu muabudu, ewe Mtume, kwa kumtakasia ibada Peke Yake Asiye na mshirika, na uwe ni miongoni mwa wenye kuzishukuru neema za Mwenyezi Mungu |