×

Enyi watu! Umekufikieni ushahidi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na tumekuteremshieni Nuru 4:174 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:174) ayat 174 in Swahili

4:174 Surah An-Nisa’ ayat 174 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 174 - النِّسَاء - Page - Juz 6

﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ قَدۡ جَآءَكُم بُرۡهَٰنٞ مِّن رَّبِّكُمۡ وَأَنزَلۡنَآ إِلَيۡكُمۡ نُورٗا مُّبِينٗا ﴾
[النِّسَاء: 174]

Enyi watu! Umekufikieni ushahidi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na tumekuteremshieni Nuru iliyo wazi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ياأيها الناس قد جاءكم برهان من ربكم وأنـزلنا إليكم نورا مبينا, باللغة السواحيلية

﴿ياأيها الناس قد جاءكم برهان من ربكم وأنـزلنا إليكم نورا مبينا﴾ [النِّسَاء: 174]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Enyi watu, kwa hakika imekuja kwenu ushahidi kutoka kwa Mola wenu, nao ni Mtume wetu Muhammad , rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na yale aliyokuja nayo miongoni mwa maelezo yaliyo waziwazi na hoja za yakini, kubwa ya hizo ni Qur’ani tukufu, zenye kutolea ushahidi ukweli wa unabii wake na utume wake wa mwisho; na tumewateremshia Qur’ani ikiwa ni uongofu na ni nuru yenye kufafanua mambo waziwazi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek