Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 25 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿كَمۡ تَرَكُواْ مِن جَنَّٰتٖ وَعُيُونٖ ﴾
[الدُّخان: 25]
﴿كم تركوا من جنات وعيون﴾ [الدُّخان: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni vingapi alivyoviacha Fir’awn na watu wake, baada ya kuangamia kwao na kuzamishwa baharini na Mwenyezi Mungu, miongoni mwa mabustani na mashamba yaliyostawi, chemchemi za maji yenye kupita |