Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 24 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿وَٱتۡرُكِ ٱلۡبَحۡرَ رَهۡوًاۖ إِنَّهُمۡ جُندٞ مُّغۡرَقُونَ ﴾
[الدُّخان: 24]
﴿واترك البحر رهوا إنهم جند مغرقون﴾ [الدُّخان: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na iache bahari hali ilivyo utakapopita, ikiwa imetulia haina mchafuko. Hakika Fir’awn na askari wake ni wenye kuzamishwa humo baharini |