Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 6 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿وَيُدۡخِلُهُمُ ٱلۡجَنَّةَ عَرَّفَهَا لَهُمۡ ﴾
[مُحمد: 6]
﴿ويدخلهم الجنة عرفها لهم﴾ [مُحمد: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na Awatie Peponi ambayo Aliwajulisha na Akawasifia, na Akawaafikia kusimama kuyafanya yale Ailyowaamrisha, na miongoni mwayo ni kufa shahidi katika njia Yake, kisha atawajulisha wao mashukio yao huko Peponi watakapoingia humo |