Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 5 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿سَيَهۡدِيهِمۡ وَيُصۡلِحُ بَالَهُمۡ ﴾
[مُحمد: 5]
﴿سيهديهم ويصلح بالهم﴾ [مُحمد: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Atawaafikia siku za uhai wao duniani wawe watiifu Kwake na wafanye matendo ya kumridhi, Awatengeze hali zao, mambo yao na malipo mema yao duniani na Akhera |