×

Jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu, na ya kwamba Mwenyezi 5:98 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:98) ayat 98 in Swahili

5:98 Surah Al-Ma’idah ayat 98 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 98 - المَائدة - Page - Juz 7

﴿ٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّ ٱللَّهَ شَدِيدُ ٱلۡعِقَابِ وَأَنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[المَائدة: 98]

Jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira, na Mwenye kurehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: اعلموا أن الله شديد العقاب وأن الله غفور رحيم, باللغة السواحيلية

﴿اعلموا أن الله شديد العقاب وأن الله غفور رحيم﴾ [المَائدة: 98]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Jueni, enyi watu, kwamba Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kuwa juu, ni Mkali wa mateso kwa anyemuasi na kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa Kusamehe, ni Mwingi wa rehema kwa anayetubia na kurejea
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek