×

Haimlazimu Mtume ila kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu anajua mnacho kidhihirisha 5:99 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:99) ayat 99 in Swahili

5:99 Surah Al-Ma’idah ayat 99 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 99 - المَائدة - Page - Juz 7

﴿مَّا عَلَى ٱلرَّسُولِ إِلَّا ٱلۡبَلَٰغُۗ وَٱللَّهُ يَعۡلَمُ مَا تُبۡدُونَ وَمَا تَكۡتُمُونَ ﴾
[المَائدة: 99]

Haimlazimu Mtume ila kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu anajua mnacho kidhihirisha na mnacho kificha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ما على الرسول إلا البلاغ والله يعلم ما تبدون وما تكتمون, باللغة السواحيلية

﴿ما على الرسول إلا البلاغ والله يعلم ما تبدون وما تكتمون﴾ [المَائدة: 99]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Anawaelezea kwamba shughuli ya Mtume Wake , rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ni kuongoza kwa kuelekeza na kufikisha na kwamba uongofu wa taufiki uko mkononi mwa Mwenyezi Mungu, Peke Yake, na kwamba mambo yaliyomo ndani ya nafsi za watu, katika yale wanayoyafanya kwa siri na wanayoyatangaza, ya uongofu na upotevu, Mwenyezi Mungu Anayajua
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek