Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 20 - الذَّاريَات - Page - Juz 26
﴿وَفِي ٱلۡأَرۡضِ ءَايَٰتٞ لِّلۡمُوقِنِينَ ﴾
[الذَّاريَات: 20]
﴿وفي الأرض آيات للموقنين﴾ [الذَّاريَات: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na katika ardhi kuna mazingatio na dalili waziwazi za uweza wa Mwenyezi Mungu kwa watu wenye yakini kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Mola wa haki, Aliye Peke Yake na asiye na mshirika, na wenye kumuamini Mtume Wake. rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie |