Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 21 - الذَّاريَات - Page - Juz 26
﴿وَفِيٓ أَنفُسِكُمۡۚ أَفَلَا تُبۡصِرُونَ ﴾
[الذَّاريَات: 21]
﴿وفي أنفسكم أفلا تبصرون﴾ [الذَّاريَات: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na katika kuwaumba nyinyi kuna dalili za uweza wa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, na kuna mazingatio ya kuwaonyesha nyinyi upweke wa Muumba wenu na kwamba Yeye hakuna Mola Anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Yeye. Je, mumeghafilika na hilo mkawa hamlioni mkazingatia kwalo |