Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 9 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿يَوۡمَ تَمُورُ ٱلسَّمَآءُ مَوۡرٗا ﴾
[الطُّور: 9]
﴿يوم تمور السماء مورا﴾ [الطُّور: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku ya mbingu kutetemeka mpango wake kuharibika na pande zake kusukikasukika, na hapo ni wakati wa mwisho wa dunia |