Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 21 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلۡأُنثَىٰ ﴾
[النَّجم: 21]
﴿ألكم الذكر وله الأنثى﴾ [النَّجم: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je huyu mwanamume mnamfanya ni wenu kwa kuwa mnaridhika naye, na mwanamke ambaye hamridhiki naye nyinyi wenyewe mnamfanya ni wa Mwenyezi Mungu |