Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 40 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿وَأَنَّ سَعۡيَهُۥ سَوۡفَ يُرَىٰ ﴾
[النَّجم: 40]
﴿وأن سعيه سوف يرى﴾ [النَّجم: 40]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwamba juhudi zake zitaonekana Akhera, yapambanuliwe mazuri yake na mabaya yake, ili kumkirimu mtenda wema na kumlaumu mfanya mabaya |