Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 33 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿إِنَّهُۥ كَانَ لَا يُؤۡمِنُ بِٱللَّهِ ٱلۡعَظِيمِ ﴾
[الحَاقة: 33]
﴿إنه كان لا يؤمن بالله العظيم﴾ [الحَاقة: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani yeye hakuwa akiamini kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Mola wa Haki, Peke Yake, Asiye na mshirika |