Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 34 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿وَلَا يَحُضُّ عَلَىٰ طَعَامِ ٱلۡمِسۡكِينِ ﴾
[الحَاقة: 34]
﴿ولا يحض على طعام المسكين﴾ [الحَاقة: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wala hakuwa akitenda matendo yanayoambatana na uongofu Wake, wala hakuwa akiwahimiza watu duniani kuwalisha wenye uhitaji miongoni mwa masikini na wengineo |